Happy birthday Muungano, how old are you now?
60 years!!!
Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
Habari za wakati wadau;
Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika...
Habari.
Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa,wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu,mara mizimu inaleta nuksi,mara watu wamefungwa na mizimu ya...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Kuna mtu kachukua picha za marais wote waliowahi kuongoza Tanzania hakiwemo SSH na kuacha watu watoe maoni ya ni Rais gani bora kwake? Kati ya waliotoa maoni zaidi elfu 3, JPM alikuwa anaongoza...
Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe.
Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.