Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo...
2 Reactions
7 Replies
169 Views
MAKALA YA 10 Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo . 1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI Kuna watu...
3 Reactions
8 Replies
107 Views
Hakika penye wengi pana mengi, kwahiyo tutarajie kukutana na watu wenye tabia tofauti tofauti. Kuna watu ambao watakukwaza kwa kutokujua na wengine kwa makusudi kabisa, kuna watu ambao furaha yao...
3 Reactions
6 Replies
136 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
22 Reactions
768 Replies
32K Views
Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam? Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini...
1 Reactions
8 Replies
131 Views
Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
21 Reactions
148 Replies
8K Views
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Kwa mimi binafsi naona 1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik 2.Leonardo wa cheka tu Taja wa kwako
0 Reactions
10 Replies
11 Views
Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni...
2 Reactions
1 Replies
256 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,774
Posts
49,494,556
Members
666,823
Latest member
jay_mtani
Back
Top Bottom