Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha kama hii sio zile plain za rangi moja kama Red cjui Blue au white nataka picha picha kama hizi pamoja na...
2 Reactions
8 Replies
87 Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
10 Reactions
71 Replies
939 Views
Marekani yasema kuwa imekubaliana na Ukraine kuondoka vifaru vyake vya Abram kwenye uwanja wa vita na Urusi huko Ukraine. Uamuzi huo wa kuondoka vifaru hivyo vinavyodaiwa kuwa ni namba moja kwa...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
11 Reactions
74 Replies
1K Views
Inaonekana amejawa na mawazo sana!
1 Reactions
11 Replies
804 Views
Kwa mimi binafsi naona 1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik 2.Leonardo wa cheka tu Taja wa kwako
2 Reactions
42 Replies
247 Views
Habari wakuu Kama kuna mtu humu ndani alikuwa shortlisted kwenye position ya Intern Gender and Respectful Care at Jhpiego na kufanya interview jana naomba tufahamiane
1 Reactions
2 Replies
52 Views
Majuzi kati kada mtiifu sana wa ccm na chawa mkubwa wa bashite, mara baada ya bashite kuhojiwa na kamati ya maadili ya chama chetu alileta bandiko huku akisema. Mwamba Bashite ataongea na...
14 Reactions
39 Replies
439 Views
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana...
1 Reactions
10 Replies
14 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,776
Posts
49,494,647
Members
666,823
Latest member
jay_mtani
Back
Top Bottom