Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba. Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni. Watu wanaendelea.ku-enjoy kama hakuna kioichotokea. Kikotoo...
Wasalaam!
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration.
Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.
Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini...
Hello jukwaa la celebs
Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo...
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko.
Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke.
1: Chakula.
2: Mavazi.
3: Ngono.
Kabla...
Habari wanajamii forums, ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko.
Pia wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.