Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
5 Reactions
23 Replies
958 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
14 Reactions
115 Replies
2K Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
33 Reactions
155 Replies
4K Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
21 Reactions
15K Replies
1M Views
Ukiangalia mlolongo wa Wawekezaji wa ndani waliopewa Viwanda na serikali ya Mkapa wakati wa sera ya ubinafsishaji na wamevitelekeza wote ni Waswahili waarabu akina Abood, Mo Dewji, Manji na...
0 Reactions
2 Replies
20 Views
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni. Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua viwanja...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
3 Reactions
33 Replies
223 Views
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
14 Reactions
75 Replies
929 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
4 Reactions
46 Replies
910 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,836
Posts
49,581,829
Back
Top Bottom