Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza. Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
11 Reactions
73 Replies
2K Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
40 Reactions
818 Replies
16K Views
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka...
4 Reactions
52 Replies
364 Views
Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa...
5 Reactions
72 Replies
1K Views
Natoa heshima zangu kwa wote waliopo katika jukwaa hili la JamiiForums. Kwa miaka mingi nimejikuta nikipata maarifa na ujuzi wa kutosha kupitia jukwaa hili (Jforums). Nimefanikiwa kupata maarifa...
2 Reactions
9 Replies
10 Views
Kwa mimi binafsi naona 1.Nikki mbishi wa tamaduni muzik 2.Leonardo wa cheka tu Taja wa kwako
2 Reactions
28 Replies
96 Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
10 Reactions
67 Replies
925 Views
katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house. Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini...
9 Reactions
76 Replies
1K Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
9 Reactions
140 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,776
Posts
49,494,647
Members
666,823
Latest member
jay_mtani
Back
Top Bottom