Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
Kwa wale tuliofaidi elimu ya bure kwenye University of Dar-es-salaam, enzi tulipokuwa tunakula makuku, mayai na maziwa yaliyokuwa yanatoka kwenye mabomba, tutakumbuka kwamba kulikuwa na kiumbe...
Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika...
Waaukumbi.
American colleges and universities involved in the Palestinian protests:
- Yale University
University of Texas
Columbia University
Massachusetts Institute of Technology
University...
Napenda kuwa karibisha katika uzi wa misemo mbalimbali ya kifalsafa. Hili kuweza kuimprove our critical thinking skills, knowledge of logic, to unlock the gate of Wisdom(Hekima) na kuwa sehemu ya...
Mada yangu iko wazi wazi.
Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.