Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Halafu ogopa sana Mwanasiasa akijifanya Anakupenda kwani huenda akawa anataka kukuleta Karibu yake ili akusome, akujue, ajiridhishe kwa anayoyasikia na akutumie kwa Maslahi yake kisha akishajua...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
Wasalaam mabibi na mabwana,
Enyi wanaume, leo naomba niwausie kuhusu michepuko! Shetani ameingia kwenye nyumba nyingi sasa mnaona kama fasheni kuwa na michepuko. Amini kwamba hakuna mchepuko...
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
Hapa duniani kuna Serikali zina Dini kama vile Iran, Afghanistan, Uingereza nk na pia kuna Serikali Hazina Dini ila Watu wake ndio Wana Dini tofauti tofauti mfano Kenya, Zimbabwe na Israel
Fanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.