Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Mungu ibariki Israel
Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90)
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close...
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana?
Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya...
Wasalaam,
Hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia Mtandao.
Anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba 0152631907400 zilizotolewa TZS 2,800,000...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba kuna watu...
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka...
Jana nimeandika uzi humu jukwaani. Nikatumia ubunifu kuandika title ambayo nilijua itavutia wasomaji. Ule uzi ulikuwa unapata wasomaji na watu walianza kuchangia kwa wingi. Mods sijui nini...
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.