Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
4 Reactions
40 Replies
264 Views
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake. Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
0 Reactions
13 Replies
172 Views
  • Suggestion
Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu...
6 Reactions
25 Replies
298 Views
Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
19 Reactions
164 Replies
34K Views
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
9 Reactions
68 Replies
1K Views
Habari wanajf, DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi...
0 Reactions
3 Replies
20 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa...
5 Reactions
46 Replies
914 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
31 Reactions
80 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,494
Posts
49,803,862
Back
Top Bottom