Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na...
Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23...
Directly, single Maza wengi ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto kutokana na kwamba maisha wanayoishi niyakihunihuni unakuta single maza anadate wanaume tofauti tofauti .
Mtoto hua...
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure...
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Ndugu zangu watanzania,
Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu amesema chini ya uongozi wake kama Waziri kamwe hatakubali mfanyabiashara aondoke na Kodi ya Serikali, atamkamata
Mwigullu amesisitiza haiwezekani kufukuzana na...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.