Mkuu wa Mkoa wa DSM Dr Albert Chalamila amewataka Wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao
Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu...
My Take
Ndio hivyo,Ukiwa na pesa unabembelezwa kama vile wachezaji wenye vipaji wanavyopembelezwa kuchezea Mataifa mbalimbali.
https://www.instagram.com/p/C7n_jZlo0U3/?igsh=MW9qc2Ntcm92MzJlaw==
Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku...
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani.
Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini
Nilitaka kuignore...
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi.
Ni...
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta.
Kwa maneno rahisi kama chaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.