Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagizi waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Suleiman Jafo kuandaa katazo na kupiga marufuku matumizi ya Kuni...
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM
Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa
Shehe Musa Hassan, Hussein...
Mkuu Pascal Mayalla si kiitikadi bali kiuzalendo zaidi nashawishika kukuuliza Haya maswali Mawili baada ya kusikiliza Mahojiano Yako na Fr Kitima wa TEC
Binafsi nakupongeza kwa namna...
Hii Tabia Inabidi Polisi waiache. Polisi wetu wanatabia ya Kutembea Gari lisilokuwa na Plate namba yaani (PT......)
HII Tabia ni ya Kihalifu. Kuwa Polisi haikufanyi kuvunja Sheria. Kwa Kutembea...
Ni jambo la wazi kwamba system ya elimu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inaandaa wanafunzi kuwa na ndoto za kuajiriwa hivyo kama mwanafunzi ana ndoto hizi nikiri kusema kusoma UDSM ni advantage...
Wasalaam
Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu.
Ilikuwa...
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.
Any age, and gender karibuni. Sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.