Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati...
8 Reactions
159 Replies
13K Views
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba Aah! Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu, nipe...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
7 Reactions
207 Replies
5K Views
Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume...
3 Reactions
16 Replies
190 Views
Tanzania ukifa kwa stress basi ni kwa kujitakia.
0 Reactions
7 Replies
171 Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
8 Reactions
108 Replies
3K Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
116 Reactions
325 Replies
11K Views
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
4 Reactions
78 Replies
496 Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
21 Reactions
148 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,138
Posts
49,565,527
Members
667,805
Latest member
ZouhAlly
Back
Top Bottom