BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500,
Wali ule unaouzwa 2000 maeneo mengine hapa...
Mkoa wa Mbeya ni Kati ya Mikoa mitano iliyopo Nyanda za Juu Kusini sanjali na Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Songwe, Njombe na Rukwa. Mbeya ilianzishwa mwaka 1961.
Mkoa wa Mbeya umejaaliwa kila kitu...
Leo Katika pita pita mtandaoni Nimekutana na Video ya kijana Akikemea wadudu, Binafsi namuunga mkono, Wadudu Wanaidumaza Arusha na kuidhalilisha, chukua muda wako kusikiliza na toa maoni yako pia...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema ni Kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka
"Wale hawana...
Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja.
Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.