Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
6 Reactions
109 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
19 Reactions
122 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
7 Reactions
80 Replies
2K Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu wana jamvi, Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni, je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho? Juzi juzi nimeugua...
2 Reactions
14 Replies
465 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
9 Reactions
40 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,528
Posts
49,577,756
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom