Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
8 Reactions
298 Replies
7K Views
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama Au pale Kanisani Machame...
1 Reactions
2 Replies
16 Views
Yanga SC ( Mashabiki ) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini.
1 Reactions
14 Replies
97 Views
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi...
3 Reactions
11 Replies
234 Views
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine. Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks. Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
0 Reactions
9 Replies
155 Views
Nahitaji kunde ,maharage, choroko na njungumawe kwa bei ya jumla. Mimi nipo Dar, Mabibo.
1 Reactions
43 Replies
838 Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/baba-jela-miaka-30-kwa-kumpondaponda-nyeti-mtoto-wa-kufikia-4611470 Credit:Mwananchi!!
0 Reactions
8 Replies
140 Views
Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi. Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si...
0 Reactions
3 Replies
13 Views
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri...
1 Reactions
25 Replies
176 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,707
Posts
49,553,442
Members
667,583
Latest member
Juma pindi
Back
Top Bottom