Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
4 Reactions
68 Replies
612 Views
Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada: Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu. Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
0 Reactions
16 Replies
279 Views
mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, kwanza... mwanammke ameumbiwa utii, Hana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA Nimejifunza mambo haya kwenye hili 1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi...
2 Reactions
14 Replies
270 Views
Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku...
5 Reactions
19 Replies
317 Views
Katika viumbe vilivyoumbwa kama inavyosemekana kwa upande wa jini kila ninaesikia ni lazima usikie ni jinsia ya kike. Kila mtu akisema kakutana na jini ukiuliza ni lazma usikie ni jinsia ya...
2 Reactions
14 Replies
101 Views
Hii inatokana na kurudia makosa mara kwa maranya kujifunga. Huyo jamaa ni mamluki na ni YANGA lialia
0 Reactions
2 Replies
15 Views
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
6 Reactions
23 Replies
612 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,947
Posts
49,533,223
Members
667,296
Latest member
Jafu jafu
Back
Top Bottom