Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
0 Reactions
5 Replies
28 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
7 Reactions
159 Replies
4K Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
3 Reactions
153 Replies
3K Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
14 Reactions
150 Replies
3K Views
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole. Hawajui Hii...
4 Reactions
26 Replies
305 Views
Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi. Naona...
0 Reactions
19 Replies
274 Views
Naomba msaada kwa wale wataalamu wa kuroot simu nina simu aina ya Tecno k7 naitaji kuiroot naweza kutumia njia gani rahisi bila kurumia computer. Asanteni.
1 Reactions
11 Replies
195 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
15 Reactions
124 Replies
3K Views
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona serikali inataka...
3 Reactions
25 Replies
231 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,095
Posts
49,507,235
Members
666,953
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom