Habari za Wakati huu.
Hivi inakuwaje Nyaraka zetu kama barua, mitihani, vyeti, nk zinatumika kufungia mandazi, vitumbua, mchicha, nk
Leo nimenunua chapati nje ya chuo cha MUHAS na kifungiwa...
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Ukitoa mafanikio ya kufungua wasap channels, Manzoki kuja kwenye uchaguzi, KIbu denis kuikanda Yanga Sc mara mbili mfululizo pamoja na kuishia Robo klabu bingwa Afica kama ilivyozoeleka Simba sc...
Salaam wadau.
Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari.
sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo...
Nipigie nikuhudumie. Napatikana Jiji La Dar es Salaam
KWA MAWASILIANO : 0714693107
Karibuni Sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dhamira yako ya ndani kabisa, ikupe ujasiri wa kuanzia hapo ulipo, tena kwa mambo madogo kabisa yaliyo ndani ya uwezo wako. Mawazo yako, maono yako, ubunifu wako, ushauri wako, ujengaji hoja wako...
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu .
Cha kushangaza kumetokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.