Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea...
3 Reactions
91 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii) Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo; 1. Parasitology and...
2 Reactions
40 Replies
346 Views
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu! Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
3 Reactions
18 Replies
143 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Rejea mada tajwa, Huu ni uzi wa kupeana plan/mipango mbalimbali ambayo kama vijana tunaweza kufanya kwa mwaka huu na kupata kipato ili kukabili adui namba mbili UMASKINI. Me kwa upande wangu...
2 Reactions
20 Replies
616 Views
Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe, katika maelezo yake amedai kwamba walifikia Makubaliano na Mbowe ili yeye achukue uenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe, Amezungumza mengi , lakini...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Hilo limethibitishwa nchini Ukraini katika uwanja wa vita ambapo vifaru maarufu vilijulikanavyo kama Leopard (kutoka Ujerumani), Challenger (kutoka Uingereza), pamoja na Abraham's (kutoka...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga wahalifu hasa wa...
3 Reactions
21 Replies
293 Views
Ninavyojua mimi hakuna mchaga fala linapokuja swala la hela yuko radhi hata kuua mtu ilimradi dili lisimpite kando. Sasa nililipoona wachaga wapo interested sana kuwa mapadre nikajua tayari kuna...
1 Reactions
5 Replies
34 Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
22 Reactions
154 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,263
Posts
49,513,499
Members
667,048
Latest member
Koroberaga
Back
Top Bottom