Recent content by zumali

  1. Z

    Je Unahitaji kuagiza gari?

    Jamani msiwe na haraka na hii kampuni sio ya kuamini sana. Mimi nimekoma kufanya biashara na lucus...ni matapeli fulani hivi. Kwa hiyo kuweni makini nina uthibitisho wa utapeli wao. Nilipoona wameadvertise ippmedia nikajua ni ya viwango kama autorec kumbe balaa...baadhi ya waswahili ndio maana...
Back
Top Bottom