tizama kwa makini, si ya kawaida hiyoo,...inayo 3G/EDGE/CDMA modem ndani kwa ndani, hauhitaji kuchomoa na kuchomeka, bei ya modem ya kuingia line zote za mitandao yoote,..Airtel, TTCL, sasatel, Vodacom, tiGO, Zantel kwa sasa bei yake ni 200,000/=
betri inadumu na chaji kwa masaa matano, webcam...