Recent content by zamdah nassry

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

    Ila nakula vizuri bila shida yoyote
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

    Mimi ninamiaka 26 tumbo linauma Kuna muda napata choo Cha kahawia pia na kiungulia na Koo linauma Kuna muda kinakauka na vidonda Kuna muda nahisi kukabwa na kitu natamani kulisafisha kwa kukohoa na pia likiuma sana sauti hukwaruza japo haidumu muda napata makohoz ila skohoi nahisi kama mafua...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la koo kuhuma (persistent sore throat)

    Vp ulipona tatizo lako
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

    Shida inakuwa nn ukiona dalili hizo
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

    Ndio nadalili hizo
Back
Top Bottom