Recent content by zambezi_21

  1. zambezi_21

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Billioni 11 ni process, leo hapa tulipo ni nyingi ila kilimo ukianzia chini ukifata misingi imara ya kilimo endelevu unapanda ngazi kila kukicha... Mahindi kwenye traditional farming ni ngumu kulipa lakini hesabu zimefanyika hili shamba linamizunguko mitatu ya kulima na pia katika implimatation...
  2. zambezi_21

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Acha matusi, maneno uliyoandika yanamaelezo mengi Sana kwamba wewe ni mtu wa aina gani, ni utoto na ufinyu wa fikira kumtukana mtu ambaye humjui kisa upo nyuma ya keyboard unataipu tuu utu na heshima vinakutoka.. kuna uwezekano mkubwa unayemtukana ukikutana naye utamsalimia na kumpaheshima zote...
  3. zambezi_21

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Vijana wengi wa Kitanzania hawana mwamko wa kufanya long-term investment,wengi wanapendelea kupata return ya pesa ya chap chap. Mradi Kama huu wa hecta 10000 za shamba kwa mtu mmoja ni mradi ambao unapata chance ya kuufanya au kuujariba Mara moja in ur life. Unahitaji maandalizi ya muda...
  4. zambezi_21

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Yes hii ni nzuri pia Sana... Kilimo na hizi technology vinaenda sambamba
  5. zambezi_21

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Shukrani kwa vote. Serikali inapart kubwa ya kufanya katika Hili lakini hata sisi Vijana tunayonafasi kubwa ya kuonesha nia na uwezo ili iwe rahisi serikali kuingilia na kutoa msaada
  6. zambezi_21

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Ni kweli kwamba Dunia kwa Sasa ipo katika mapinduzi ya nne ya viwanda na sekta inayoongoza mapinduzi haya ni sekta ya teknologia na habari. Matajiri wakubwa wa Dunia kwa kiasi kikubwa ni Vijana na wazee ambao wamewekeza katika sekta hii kwa kiasi kikubwa,hapa nawazungumzia watu Kama Jeff...
Back
Top Bottom