Recent content by Young A-chancellor

  1. Young A-chancellor

    SoC02 Nani alikuwa zaidi kati ya Mwalimu na Mwanafunzi?

    Hujambo na karibu sana wewe shabiki bora wa sanaa ya tingatinga katika mwendelezo wa simulizi hii natumai uko vyema wa afya na kiroho[emoji6] na kama ndo una ungana nami kwa mara ya kwanza basi hakikisha unasoma makala yangu ya kwanza niliyo ipakuwa hapo awali kichwa cha habari (Je sanaa ya...
  2. Young A-chancellor

    SoC02 Je, tasnia pekee ya uchoraji tamaduni wa Tingatinga upo mikono salama katika karne hii?

    Tuanze na mwanzilishi na mgunduzi wa tamaduni hii ya sanaa tingatinga. Edward Said Tinga Tinga mwenyewe, bila shaka unamfahamu! Kama la basi muulize babu yako vizuri maana huyu jamaa ndio habari ya mjini enzi za sabini ivi Alipokuja zake dar 1968 na kuchukua mafuta ya baiskeli na kipande cha...
Back
Top Bottom