asante sana Asakuta....nilikuwa niko njia panda kwa sababu kinavimba, na baada ya muda mfupi kinapotea
sasa maneno ya watu ndo balaa....mama anasema na mimi nilikuwa hivyo hivyo ikaisha yenyewe tu, na dawa za kienyeji kidogo, shemeji anasema na mtoto wake ilikuwa hivyo hivyo....ni tumbo la...
Habari....
Mtoto wangu wa kiume ana miezi 2 toka azaliwe....anasumbuliwa sana na tumbo....wengine wanasema ngiri, wengine wanasena chango....kitovu chake ni kikubwa kiasi (kama golori) lakini ikitokea chango likambana ndo inakuwa kama kinavyoonekana katika picha...na analia sana kwa maumivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.