Recent content by Yehoshafati Elton

  1. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapambo yanayoishi na umuhimu wa Samaki wa mapambo

    Ooh hapa nikulike makala yangu au nenda mwisho wa makala yangu, utaona sehemu ya vote, ukiclick pale utakuwa umenipigia kura tayari
  2. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapambo yanayoishi na umuhimu wa Samaki wa mapambo

    Nenda kwenye post yangu halafu scol hadi mwisho utaona sehemu ya vote. Click hapo utaona kura umepiga.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapambo yanayoishi na umuhimu wa Samaki wa mapambo

    Nimekupigia kura naomba na mimi unipigie kura kwenye langu la "Uuzaji na usambazaji wa samaki kuipitia app maalumu ya Samaki kiganjani mwako '
  4. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapambo yanayoishi na umuhimu wa Samaki wa mapambo

    Wazo zuri Kaka
  5. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Asante ngoja nione namna ntaiweka app ili ichukue kazi ya middle men.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Asante kwa criticism yako. Ni kweli ukusanyaji na uchakataji siyo kazi za app. Lakini nilikuwa najaribu kuonesha mfumo mzima wa namna ya biashara itakavyoundwa. Na hapo kwenye uuzaji,wateja na aplikesheni, ni kwamba; mteja anakuwa na app halafu ndio ana uwezo wa kununua(maana mishale miwili).
  7. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
Back
Top Bottom