Wakuu habar,
Nauza simu aina ya TECNO W4, simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote na imetumika miez 4 tu.
Nauza kwa sababu nataka nipate pesa ya kodi ya chumba ya miez mitatu.
Bei ni Tsh 130,000
Location :Mabibo Dar es salaam
Contacts:
Specifications
INTERNAL STORAGE 16GB
RAM 1GB
CAMERA...