Recent content by Wisegr

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la Uti wa Mgongo

    Nipo Dar
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la Uti wa Mgongo

    Habari wana-JamiiForums, Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa3 Sasa Kwa kipindi imenibidi ni simamishe masomo kutokana na Naumwa UTI wa mgongo ni miezi sita Sasa. Siwezi kusimama wala kutembea miguu yote miwili Haina nguvu wala vidole vya miguuni vyote haviwezi hata kucheza na mwezi wa10...
Back
Top Bottom