Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dege Kigamboni, eneo lipo jirani na mradi mkubwa wa ujenzi wa Dege Eco Village. Kiwanja kipo eneo zuri na kimezungukwa na miundombinu muhimu yote ikiwemo umeme, barabara na maji.
Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi au biashara, ukubwa wa eneo ni Square...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.