Recent content by wilson Bitamale

  1. wilson Bitamale

    Naombeni ushauri kuhusu sera hizi, nichague yupi?

    Ni juu yako wewe ni nani na ni sera zipi huchague
  2. wilson Bitamale

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Njombe mnahitaji maji safi na salama na yenye uhakika

    Huyu mama ni mpambanaji sana na anaonyesha anahitaji nafasi ya kuingia madarakani kwenye nchi ambayo wananchi wake huchagua viongozi si uwezo na weledi wao bali umaarufu wao au vyama vyao
  3. wilson Bitamale

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa BAWACHA , Wanawake katika maamuzi ya Kitaifa

    Wanawake wanaweza tena bila hata ya kuwezeshwa kinacho hitajika ni wao kujitambua kwanza kuwa wanaweza na wao si udhaifu ukilinganisha na wanaume mbele ya jamii.
  4. wilson Bitamale

    Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

    Ratiba hii ni ya aina yake ,aisee Tundu Lissu mwaka huu amepania kuingia ikulu kwa namna yoyote ile
Back
Top Bottom