Habari zenu wana jf. Natafuta frame ya zaidi ya dimensions za 20x11 maeneo ya ubungo. Lengo ni kufungua mgahawa wa kuuza chakula na frame iwe kubwa kiasi cha kupata mahali pa kubwa pa kupikia na kuweka fridge na freezer na vifaa vya kupikia.
Ninaishi maeneo ya sinza na ningependa frame ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.