Recent content by We sell

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    Karibu Sanaa.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    motor tunasize kuanzia hp 3 mpk 24 sasa siwezi kuweka bei ya zote hizo.zipo za diesel na za umeme.Za manual kwa sasa hatuna. Wewe unataka ipi?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    samahani lkn trailer la Tractor hamna.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    Honda water pump 2 ni 630000 na 3 ni 750000. Mpira delivery ya nnchi 2 135000 na 3 ni 165000.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    Mipira yote ya Shamba na bustani tunayo. karibu Sanaa na asante.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    Pia tuna mashine za kusaga na motor.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    what is that?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mashine zote za shamba zipo

    Faaris Hardware inakutaarifu kuwa tuna mashine zote za mashamba kama water pump,mipira ya kumwagilia,mashine za kumwagilia mimea,chainsaw pamoja na mashine za kuoshea magari. Karibu faaris Hardware duka lenye bei bora vyenye kudumu na uhakika. Tupo mtaa wa Samora na India jijini Dar es salaam...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Machine za kuosha magari!

    Machine pressure washer aina ya kingmax. PSi 2400 hadi 2600. Bei inaanzia 750000.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Pata water pump bora

    submersible pump zipo pia.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Pata water pump bora

    Kwa nchi tatu machine kama hio huwezi kupata kwa laki mbili nnchi nzima.
  12. W

    JamiiForums Tanzania mashine za kumwagilia zipo

    Zipo na grander za size zote.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Pata water pump bora

    Mashine zipo za diesel na petrol na zote ni mpya kabisa. Tupo samora na India.
  14. W

    JamiiForums Tanzania mashine za kumwagilia zipo

    Mashine za kumwagilia mikorosho zipo. Tunamashine za carwash ambazo zinauzwa kwa being nafuu. Tunazo mashine za aina zote,za petrol pamoja na za diesel zinapatikana. Tapo Zamora mtaa was India. Mashine zote no mpyaa. Wasiliana Naomi kupitia 0655492431.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Machine ya kukata miti

    Pata machine ya kukata mti yenye uwezo nchi 24 aina ya Kingmax. Inapatikana kwa bei 550000.
Back
Top Bottom