pamoja kaka, ila bro mpaka nimeamua kutumbukiza tatizo lang humu, ujue am suffering, najiona sina bahati, nimechoma hela hospitalini napata nafu wiki kazaa, homa zinaludi, lakini hii ya sasa kali, kwa hizi dalili mpaka natamani nipate vipimo vikubwa cha mwili mzima tatizo pesa