Akunamaelezo ya matumizi kuwa unachuma una twanga au unachemsha swara unasema dawa ya tumbo na kunywa basi apo ujasaidia kwakweli toa maelezo na mtu apate kuelewa
Nina sumbuliwa na shida ya tumbo kuunguruma kilaninapo amka asubuhi na choo kinakuwa kina katika katika kubea ata nikila chochote kisicho faa kubea kujamba gesi tumboni imenifanya ni jisikie kooni kama kuna kidinda kwamana ina niletea maumivu ya koo mpaka kichwa kinauma sana ni kaenda hospital...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.