Recent content by VUASU

  1. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Nitalifanyia kazi
  2. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Inamaana unapendekeza bei zote ziishie elfu hamsini ili watanzania wote wamudu..??????:crying:
  3. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Mkuu kuhusu uhalali wa eneo hakuna tatizo lolote,utakuwa Na uhuru wa kuchunguza hati husika Kwa kwenda kwenye idara yeyote itakayokupa majibu utakayoridhika nayo ndio ufanye malipo
  4. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Ni eneo linalofaa sana Kwa uwekezaji hasa wa Hoteli Mkuu.hadi linauzwa kwa bei hiyo ni wazi kuwa linafaida kubwa,lakini Kwa wajasiria mali.Pia kwa maisha ya kujinafasi panafaa sana kwa makazi
  5. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Ndiyo Mkuu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Wakuu maeneo bado yapo...karibuni...!!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Mkuu kuna eneo la ekari Sita bei yake ni m900.Kama nilivoeleza hapo juu,ni eneo halali,na unaweza chukua tahadhari zote unazoona zinafaa,ili tu uridhike.....!!!
  8. V

    JamiiForums Tanzania Simart phone for sale

    Duuuuh .....
  9. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Starlet Glanza! Anybody help!!!!

    Inayolizisha au inayoridhisha Mkuu,hebu niweke.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Toa order ya sim original used unayoipenda

    Hata mm hii sijaipenda..
  11. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Ni kweli,hela ndefu kidogo,ila kwa mwenye kuhitaji kwa uwekezaji au hata Makazi ni raha tupu.karibu.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Beach plots

    Wakuu kwa mwenye mahitaji ya maeneo karibu na ufukwe wa bahari ya Hindi eneo la Bagamoyo just ni pm.Maeneo yote yamepimwa na idara ya ardhi na yana hati miliki.kabla ya malipo utajiridhisha kwanza na hati hizo.Ukihitaji eka tatu na kuendelea.Nawasilisha....!!!
Back
Top Bottom