Recent content by vicent tibaijuka

  1. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga.

    Habari zenu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kijitonyama, mwenge na kwingineko kwenye usafiri mzuri. iwe ya vyumba 2-3, iwe ndani ya gate. unaweza nsms 0717 42 11 96. shukrani.NB: kuhusu bei tutaelewana katika simu.
  2. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Kujawa na maji na hewa kwenye mapafu inasababishwa na nini.

    call 0717 421196 kama uko dar.
  3. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kuondoa virusi vya ukimwi mwilini baada ya kulala na mwathirika haraka!

    huwezi kuwa positive in such short time. no antibodies already formed. lazima ucheki baada ya miezi 3 hadi 6. ndiyo PEEP husaidia kuzuia HJIV.
  4. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Kiuno kuuma sana mpaka nakosa amani,silali wala sikai vizuri.

    nenda kapige lamba-sacral x-ray. tatizo ni uti wa mgongo
  5. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya moyo na Pressure

    ocean road, karibu na Protea hotel (corner ya Sarender Bridge). kwa daladala unashukia kituo cha palm beach.
  6. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya moyo na Pressure

    doctors plaza heart clinic ni hospital inayotibu magonjwa ya moyo na pressure, pia wana maabara ya kisasa. wanapokea bima ya Afya. simu ni 075 967 4616 au 071 967 4616.
  7. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa magonjwa ya moyo

    HAbari njema kwa wote, sasa Doctor's Plaza heart Clinic wanapokea bima ya fya NHIF na Resolutions, hivyo kama una umwa usisite kupata matibabu. tel 075 967 4616 au 071 967 4616. Karibuni!!!
  8. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Moyo wa binadamu upande wa kulia; umewahi kuona hii?

    call 0717421196
  9. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    kwa maelezo yako yaonyesha jinsi ulivyo shiba (mnene), cha kufanya ni kupunguza mwili. hiyo michilizi huitwa striae. angalia unene ni hasara, kwani matokeo yake ni magonjwa kukuletea.!!
  10. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Clinic ya magonjwa ya moyo

    poa, nitafuatilia
  11. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Clinic ya magonjwa ya moyo

    Hapana mkuu, labda kwa siku za baadae kidogo, bado hakujafanyika mazungumzo nao.
  12. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Clinic ya magonjwa ya moyo

    .....................................................................................................................................................................
  13. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Msaada nyayo zinawaka moto!!!

    Bw Mgange, ningelikushauri uende hospital, wakakuangalie, nafikiri tatizo lako kubwa liko kwenye uti wa mgongo hasa lamba-sacral area. kama uko dar nenda karibu na protea hotel kuna clinic inamaspecialist wa aina zote, piga simu 07196746616 au 0759674616
  14. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Msaada kifua kubana

    aende hosp kwa ushauri zaidi.
  15. vicent tibaijuka

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    nyoa tumia bump stop. ni nzuri sana!1
Back
Top Bottom