Mwanamke ni taswira na dira ya familia na jamii kiujumla kwakuwa ni mama pia ni mwenye nguvu anategemewa kama ilivyoelezewa katika vitabu vingi vya dini, ambapo hivi hueleza kuwa mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanaume hivyo humkamilisha mwanaume na familia yake.
Kiujumla mwanamke ni uzima...
Hakika Maendeleo yetu yanahitaji utashi na fikra chanya kama hizi kura ya wazi hii[emoji120][emoji120]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ubunifu wa Tegemeo Dickson unashangaza na ni wa pekee ambapo amefanikiwa kutengeneza chanzo mbadala cha nishati kinachoweza kusaidia sana kuhifadhi mazingira kwa sababu kuchukua nafasi ya matumizi ya mkaa hivyo kutumia Matofali ili kuhakikisha usalama wa mazingira.
Mwaka 2015, ilitoka ripoti ya...
Mtazamo ndiyo kitu ambacho humjenga mtu na kumpa tafsiri ya kitu chochote kile anachofanya, alichonacho, namna ya maisha na hata ufikiri juu ya maswala mengine yanayomzunguka. Afrika na watu wake huonekana duni mno kuliko watu wengine duniani ambapo kutokana na hili inafanya kusimama kwa uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.