Recent content by uwedo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa za maisha ndani Katavi

    Brother nenda kafanye kazi mwenyewe utapapenda, wengine huko kwetu na kila wakati hufika huko fulusa kibao wewe tu ushindwe mwenyewe kila raheli.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa TBC, Aboubakar Mwanamboka, afariki Dunia!

    R.I.P mwanamboka, tulikupenda mtangazaji wetu , lakini Mungu kakupenda zaidi pumzika kwa amani, Amen.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa za maisha ndani Katavi

    Umeme mbona hata hapa dar unakatika kila mara? Katavi ni pazuri kutafuta maisha, karibia.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Lowassa: Ameibua ugomvi na mafisadi wa Gesi

    Yangu macho na masikio, toeni siri zote tuzifahamu.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya TB Joshua ya Dolla Mil 60 hii hapa

    Akili ya kuambiwa changanya na yako!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini waimbaji wa nyimbo za injili hawazeeki?

    Hapo umenena, Bwana Yesu Asifiwe, kumwimbia Bwana ni kusali mara mbili.
  7. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA officially ni CCM 'B'

    Nimeamini pesa sabuni ya roho popote unaingia nakuitwa mheshimiwa/mzee hata kama wanakuzidi umri elimu na n.k.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

    Ni shida mwaka huu tutasikia mengi hata yaliofichwa chini ya kapeti tutayajua.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Yangu macho na masikio wanajikusanya tu.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Dr slaa kasha sahaulika, mbona hata pale kwenye mapokezi yao, au mie sina macho na slaa cjamsikia akiongea chochote.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Dr slaa ndio kaachwa hivyo, jana mbona sijamuona pale kwenye mapokezi yao? au mie sioni vizuri?
  12. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Mfaki afariki Dunia

    Wekeni picha yake huyo mbunge maana twawajua wachangiaji, wanao lala hatuwafahamu.
Back
Top Bottom