Habari Valentina , makubaliano yanaweza kufanyika baina yetu na wewe wala hakuna shida. Gharama zetu ni rafiki na hazijakaa kibiashara zaidi maana tunahitaji kutosheleza soko la horticulture lakini pia iwe win-win situation
habari LOVE U JF ,kwa sasa tunapatikana Arusha tu bado huduma zetu hazijaenda mikoani. ila ukiwa na uhitaji wa ushauri wa kitaalamu au changamoto yoyote na uko nje ya Arusha, tunaweza kukusaidia kupitia simu bila kukuchaji chochote. Asante
Habari Veronica, ningependa kujibu post yako ili kupata mwanga zaidi wa huduma zetu:
3. Kuhusu kufunga teknolojia yyte kama ulivouliza, kila teknolojia iko na gharama tofauti na nyingine. kwa mfano, teknolojia basic kama furrow irrigation haiwezi kuwa gharama sawa na drip irrigation. kadhalika...
Habari Wadau,
Sisi ni Wataalam wazoefu wa shamba ambao tumejikita kwenye kilimo upande wa horticulture. Tunawasapoti wakulima wadogo na wakubwa kwa kutoa huduma ya consultation kwenye mashamba (open field na greenhouse ). Huduma tunazotoa:
1. Initial evaluation ya shamba kabla ya Kulima
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.