Recent content by Upendomia

  1. U

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Nipo sana mkuu, siku nyingi kweli
  2. U

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Sawa mkuu, nashukuru kwa wishes yako. Karibu kwangu
  3. U

    Kabla hujawaza kwenda India kutibiwa Moyo

    Mhimu: Kuna mdau nimewasiliana naye jana yupo Moshi na amenitumia hela nimepoteza namba yake na sms nimefuta kwa bahati mbaya, hebu nitafute tafadhari.
  4. U

    Kabla hujawaza kwenda India kutibiwa Moyo

    Kwani dr na mganga kuna tofauti gani? Umetumia nini kunijuwa kuwa mimi ni mganga wa kienyeji kama na wewe siyo mganga wa kienyeji?. Angalia mi nakuheshimu kwa kuishia hapa na comment yangu Ndiyo mkuu, unaweza kujisomea na wewe kwa kubonyeza hapa Zipo kadhaa inategemea unasumbuliwa na aina...
  5. U

    Kabla hujawaza kwenda India kutibiwa Moyo

    Tunapaswa kuwa makini kwa yote siyo katika tiba tu. Karibu.
  6. U

    Kabla hujawaza kwenda India kutibiwa Moyo

    Ndiyo mkuu, dawa zangu au dawa ninazozitumia ni zile zilizopata ithibati kutoka mamlaka husika, aidha mimi si tapeli. Karibu.
  7. U

    Kabla hujawaza kwenda India kutibiwa Moyo

    Hizo ni tuhuma tu na mimi ninazo kumbukumbu za wagonjwa wote ninaowatibu sina historia ya mgonjwa huyo, ila wewe hilo jina lako nilikuona hata kwenye ule uzi wangu mwingine, una shida tu binafsi na mimi na wala hutafanikiwa
  8. U

    Kabla hujawaza kwenda India kutibiwa Moyo

    Wakuu, Kama unasumbuliwa au una ndugu au rafiki anasumbuliwa na ugonjwa wa Moyo na matatizo mengine katika Moyo kama vile moyo kuwa mkubwa, moyo kuwa mdogo, moyo kuwa mpana, mafuta mengi katika moyo, maumivu katika moyo na kadharika onana na mimi kwani nimeshawasaidia wengi wenye tatizo hilo...
  9. U

  10. U

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Hilo lipo nje ya uwezo wangu ila njoo tuonane nitakupa maelezo ya namna watoto mapacha wanavyopatikana
  11. U

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Mkuu, mgonjwa wetu wa vidonda vya tumbo anaendeleaje?
  12. U

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    white wizard nadhani ulikuwa na haraka sana wakati una post comment hii. Hata hivyo sijasema kuwa kila ninayemtibu anafanikiwa ila walio wengi wanafanikiwa, ukijieleza vizuri bila kukwepesha ukweli hakika utapona. Kurudia dozi ni jambo la kawaida popote duniani na huwa tunarudia hata dozi ya...
  13. U

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Sizinga, mpe namba yangu huyo dada na aje anione tuongee tukiwa wawili. Nikikutajia gharama kuwa ni elfu tano au laki moja bado haitakuwa na thamani sawa na mtoto utakayempata. Wapo ninaowatibu na wanapofanikiwa baadhi yao huniletea zawadi zenye thamani zaidi hata ya bei waliyolipa wakati...
Back
Top Bottom