Recent content by Tz Bora

  1. T

    SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

    Makala ina-motivate hasa ambao bado hawajabahatika ajira. Inachangamsha akili kuanza kufikiria jinsi ya kujinasua, na kuacha fikra mbovu za kufikiria kazi za ofisini na kuchomekea mashati Tu. Aibu ni moja ya vitu vibaya sana vinavyokula taratibu muda na kukuacha solemba hujafanya chochote, na...
  2. T

    SoC02 Tufanyeje kupata Jiji la mfano kimazingira, Bajeti isiwe sababu

    Utangulizi Muonekano wa mji au jiji una nafasi kubwa sana katika furaha ya mtu, kuanzia kiakili mpaka kiuchumi. Sasa,ni muda sahihi, kuwa na mji ambao tutakutana na hewa safi, muonekano safi, bustani nzuri, miti bora ya barabarani na kivuli chake katikati ya mji. Si wakati wa kukutana mara kwa...
  3. T

    SoC02 Baadhi ya Mapendekezo yangu ya kuongeza na kuboresha katika Katiba mpya

    1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe Tofauti na wabunge wa majimbo. -Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu, Kilimo, Biashara, Uvuvi, Afya, mazingira, uwekezaji, utalii, michezo nk. - Hawa hawatalipwa mshahara...
  4. T

    SoC02 Vipengele vya kuongeza/ kuboresha kwenye Katiba Mpya

    1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe Tofauti na wabunge wa majimbo. - Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu, Kilimo, Biashara, Uvuvi, Afya, mazingira, uwekezaji, utalii, michezo nk. - Hawa hawatalipwa mshahara...
  5. T

    SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Pole sana mkuu, inahuzunisha sana na inafundisha pia. Watu wema wapo, ila wengi ni wakimya, wasiotaka sifa. Hivyo mtu ukifanikiwa kumpata mtu royal, na ukapata amani ya moyo juu yake , ni vema umfanye rafiki, na mfahamiane. Duniani sote tu wapitaji. Mipango ya muda mrefu ni mizuri lkn uhai ni...
Back
Top Bottom