Biashara yeyote kutangaza ni muhimu na kutolewa ushauri maoni na nk ndo mwazo wa kuweza kujua masoko ya Madini usipo tangaza, utamuuzia nani na wapi? Ndo maana ikawepo mitandao kama hivi kwa ajili ya kupanua wigo wa uelewa wa mambo mbalimbali. Kwahiyo kwa anaye jua zaidi Madini na sharia zake...
Ruby inamatumizi mengi sana, na mimi ni mchimbaji mdogo wa madini.
Ukija katika uhalisia wa bei ni tofauti na ninavyo uza mimi.
Cha msingi uwe na kibali cha kununulia madini maana mimi nina kibali halali cha uchimbaji mdogo..
Habari nauza madini yafuatayo.
Hii ni rubi gemstone gram 2 ya winza bei 150,000,000/=
Hii ni Alexander lite (change color) gram 23 ya winza 600,000,000/=
Napatikana mkoa wa Singida, kwa mawasiliano nipigie namba 0687808357
au nitate PM.
Karibuni wateja wote mnakaribishwa kuja kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.