Recent content by twelve stars

  1. T

    Hivi washauri wa Ridhiwani Kikwete ni akina nani?

    Hehehehe umenifurahisha. Dona at work
  2. T

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Joyce ndalichako, thubutu yuko. Huyu alijaribu kuwa ngangari baraza la mitihahani kilichompata ana kuinua mwenzake. Chezea magamba wewe
  3. T

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    Ama kweli tz ina mambo . Hapo ndio naamini kuwa kulikuwa na watu kila weekend wako nje ya nchi na michepuko halafu gharama kwa serikali. Mtoa mada naomba ulipokee agizo la raisi wako in a positive way angalia jinsi ya kuinua uchumi wa nchi kwa kutumia resources zetu. Hebu jiiulize safari za...
  4. T

    Hivi bunge la 11 ni bunge la Tanzania au Tanganyika?

    ? Unajisumbua kuuliza maswali ambayo hata ukamilifu wa dahari utimie magamba hawatakujibu sana sana utajibiwa kwa ushabiki wa ccm. Nafikiri ifike mahala ccm wajitafakari upya kuwanyima wazanzibari haki ya kuongozwa na mtu wanayemtaka sio jambo la busara. Acheni...
Back
Top Bottom