Recent content by tujuemoja

  1. tujuemoja

    SoC02 Ushairi: Upendo ni kuthamini kisicho thaminika

    1. Upendo ni kuthamini, Kisicho Thamini, Na sioni Kunufaika, Kwa kuondoa upendo, Bora niondoe kosa, Kuliko upendo, Upendo ni kuthamini, kisicho thaminika. 02. Kuondoa kosa, si maringo wala sifa, Na nikiacha kosa, undugu nao utakufa Kumbuka undugu, ni bora kuliko mwanasesele...
  2. tujuemoja

    SoC02 Nagombea Urais mwaka 2025

    "Ni kweli mnanipinga, lakini naomba ujue na kutambua sababu ya kwa nini unanipinga" Fanya mazoezi, kuwa na kiasi, kunywa maji safi na salama, Vuta hewa safi, ota mwanga wa jua, ndio jina langu yaani Afya bora. Majukwaani na panda kuzinadi zangu sera lakini wanaoshawishika ni wachache, kwa hoja...
  3. tujuemoja

    SoC02 Sababu 5 za wewe kuwepo ulipo sasa

    Wengi tunaamini kwamba kila kitu kilichopo hapa duniani kina sababu ya hicho kitu kuwepo. Na hii Ikanipelekea kutafiti sababu zinazotufanya tuwepo katika hali tulionayo kwa sasa. ZIFAHAMU SABABU (5)ZA WEWE KUWEPO ULIPO SASA. 01. UFAHAMU NA TAARIFA TULIZONAZO JUU YA MALENGO YAKO. Ufahamu ni...
  4. tujuemoja

    SoC02 Jifunze kukumbuka, lazima utasahau

    "Watu wengi wakimaliza vyuo wanakwenda mtaani mahali ambapo kuna malengo yao, yanawasubiri Lakini hakuna anayejua kama ndio malengo yake" Mitazamo na mifumo yetu ya elimu, imewapa giza vijana, Wamekuwa wakiamini na kuaminishwa Shuleni ndio mahali pekee na bora katika kufanikiwa kimaisha huku...
  5. tujuemoja

    SoC02 Kukaa kimya wakati wote ni sahihi sana kuliko kuongea?

    Katika Kutatua Changamoto Mbalimbali za maisha kuongea na kunyamaza ni njia ambazo zimekuwa Zikitumiwa na Watu. Ingawa Watu wengi Wamekuwa na dhana potofu ya kwamba kukaa kimya kwa wakati wote ni sahihi Sana kuliko kuongea. Jambo linalopelekea waongeaji kuonekana watu wasio na staha katika...
  6. tujuemoja

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Samahan (A new member) Nilkuwa nataka niulize kazi zetu tunazitumaje hadi kuwafikia jamii forums
Back
Top Bottom