Maisha atuishi kwa kukalili mkuu ushawai ona wapi premio ya 14million[emoji28] or unazungumzia kipind cha jpm maisha yamebadilika ndugu
Premio kuagiza Cif ni 41,29Usd ambayo kwa sasa ni 9,703,150Million
Ushuru ni 7,100,000Million
Clearing 1,200,000Million
Total piga ujue inakuja ngapi[emoji23]