Recent content by TREPS one

  1. T

    Tai Real Estate: Tunapangisha, tunauza na tunawezesha

    Endelea kupata huduma zetu.
  2. T

    Tai Real Estate: Tunapangisha, tunauza na tunawezesha

    TAI REAL ESTATE AND PROCUREMENT SERVICES. (TREPS) ✍🏽Tunatoa huduma ya UPANGISHAJI wa Nyumba, Frame za biashara na Office. Tunatoa huduma ya uuzaji wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk. Tunatoa ushauri elekezi katika maswala yote yanayohusu manunuzi( Procurement consultancy services) na...
  3. T

    Plot4Sale SHAMBA La Ecar 3.Mapinga.Linauzwa kwa Tsh 37 milion.

    Linauzwa lote kwa pamoja. Atakaye linunua anaweza fanya hivyo
  4. T

    Plot4Sale SHAMBA La Ecar 3.Mapinga.Linauzwa kwa Tsh 37 milion.

    Eneo la Mapinga nieneo linalokuwa kwa kasi sana. Na hii ni kwasababu Mapinga ipo karibu sana na Mbuju B. Viwand vingi na mashule yanafunguliwa kila kukicha. Watu wengi wanapapenda kwasababu ni karibu san na Dar. Hili shamba lipo karibu na BAOBAO, barabara ya vikawe. Ni mita 400 kutoka...
  5. T

    Kiwanja kinauzwa Bunju 6M

    Bagamoyo.bunju shule
  6. T

    Kiwanja kinauzwa Bunju 6M

    Hiki kiwanja kipo kama unavyokiona kipo KINONDO-BUNJU.kwa wanaoijua vizuri bunju, ni karibu kidogo na yalipokuwa mashamba ya Waziri Sumaye. Nimakazi mapya, but kwa wanaojua Kinondoni inakua halaka sana.Kwa wanaoijua kinondoni watakuwa wanajua ninachokiongea.
  7. T

    Kiwanja kinauzwa Bunju 6M

    Tuwasiliane, tuongee
  8. T

    Kiwanja kinauzwa Bunju 6M

    Hizi ni hatua za miguu.
  9. T

    Kiwanja kinauzwa Bunju 6M

    KIWANJA KINAUZWA, Mil 6--BUNJU. Ukubwa:- M25/M30. Eneo. Kinondo, unashuka Bunju shule, unaelekea upande wako wa kushoto kama unatokea Mwenge. Umbali:- Nikama Km 2 kutoka barabarani. NB. Nimakazi Mapya na watu wengi wanajenga na huduma kama maji, umeme vinapatikana karibu na eneo. Umiliki!:-...
  10. T

    House4Sale Nyumba inauzwa mbezi beach Massana!

    Picha zipo! Kwa maelezo zaidi number ya simu imewekwa. Karibu sana.
  11. T

    House4Sale Nyumba inauzwa mbezi beach Massana!

    Ni mbezi beach, mtaa wa Massana
  12. T

    House4Sale Nyumba inauzwa mbezi beach Massana!

    Nyumba ipo Massana Mbezi beach, M40 tu kutoka barabara ya Massana- Goba. Nyumba ni yakisasa, ni Vyumba vitatu.(3) Bei ni Tsh 50Mil Wasiliana na muuzaji kwa 0753021619.
Back
Top Bottom