Recent content by TRABSOH

  1. T

    Afro Eco Wood Designs tunafanya intyako erior design na kutengeneza furniture kwa ajili ya nyumba yako

    Asante kaka , mimi ndo naanza kufanya shughuli hii ndivyo natafuta soko kwahivyo picha nilizo attach ni software rendered photos not real site projects lakini pia ni gharama kutengeneza kitu na kukikweka bila kujua kama kitatimiza mahitaji ya mteja husika. Kwahiyo huduma zetu zinaanza na...
  2. T

    Afro Eco Wood Designs tunafanya intyako erior design na kutengeneza furniture kwa ajili ya nyumba yako

    Kupitia animation ya aina hizi tutakazo kutengenezea Unaweza kupunguza gharama kwa kujua nini hasa sebule au eneo lako linahitaji na nini hakihitajiki Mfano Unaweza kununua set ya sofa ya watu 7 na pengine sebule yako ingependeza tu na sofa ya 3:1 Unaweza kuambiwa na fundi kuwa duka lako...
  3. T

    Afro Eco Wood Designs tunafanya intyako erior design na kutengeneza furniture kwa ajili ya nyumba yako

    Habari ndugu! Je Unapenda kuiboresha nyumba ,ofisi ,sehemu yako ya biashara au kupata samani zinazolingana na space yako kwa maana ya nyumba yako unayotarajia kuhamia au kuiboresha! Duka lako unalotarajia kulifungua au kuliboresha! Jiko lako unalotarajia kuliboresha! Ofisi yako unayotarajia...
  4. T

    Unahitaji Kupanga Nyumba/Office Yako Kabla ya Kununua Furniture na Decorations nyingine

    #Kupanga Ni Kuchagua Habari za wakati huu wakuu, poleni na majukumu. Wengi wetu tunaishi kwenye nyumba au vyumba vyenye nafasi ndogo—hasa mijini. Changamoto kubwa siyo kwamba hatuna vitu vizuri, hapana. Tatizo ni kwamba tunanunua au kutengeneza vitu kabla hatujapanga nafasi zetu vizuri. Ndiyo...
  5. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Hautoi advance wala nini ni wewe kukubaliana na mimi tu mimi natengeneza kwa gharama zangu
  6. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Shida kuna namna madalalii wameharibu hii biashara kila mtu mnamuona tapeli ,nawaelewa, je ninaweza kukamilisha project moja na ukawa mteja na balozi wangu? Mana me ni mfanya biashara mchanga bado nikianza kutengenza hasara mapema sidhani kama kesho nitakuja tena hapa, ila nitatengenza bidhaa...
  7. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Asante kwa mawazo yako na nmpokea mawazo haya, nikiweza kukupa kitu kama kilivyo kwenye picha hizo unaweza kuwa mteja wangu ?
  8. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Sawa kaka nmekuelewa sana na Asante kwa mrejesho wako ninaweza kupata namba yako na nikianza projects zangu uje kuona na kuwa shahidi na mteja wangu wa kwanza?
  9. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Na bei ya bidhaa nakupa hesabu ya material na kila kitu na bei ya utengenezaji wewe utaangalia uhalisia kama kuna chambe za uwinga
  10. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Naelewa unachomaanisha kaka, ila kama umesoma tangazo langu ni tunabuni kulingana na mteja anavotamani na sehemu yake ilivyo hiii sio biashara ya furniture tu ni zaidi ya hapo ni huduma tofauti na ilivyozoeleka. Na ndo biashara naanza uzi huu utakua endelevu kila project itakayokamilisha...
  11. T

    Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Sawa nmekuelewa ndugu ila tunatofautiana hapa , siwezi kutengeneza nikakiweka hapo na kikaaa kikakosa mteja na mimi nishaingia gharama, kwahiyo naanda Michoro na 3d design natangaza ukipenda na tukakubaliana bei kinatengenezwa unakuja kukiona usiporidhika nacho au kikiwa tofauti na matarajio...
Back
Top Bottom