Recent content by Tinywax

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

  2. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

    soko langu kubwa ni ndugu jamaa na marafiki nna nnalikuza taratibu kama hapa jamiiforums naamini wapo wanajamiiforums zaidi ya elfu 4000 katika jiji la Dar peke yake. Ukiwa na mahitaji ya tikiti, wewe nitafute kupitia anuani ya tinywax.investments@gmail.com. Hapo tutapeana mawasiliano na namna...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

    kila biashara inachangamoto zake. Nna miaka mitatu kwenye uzalishaji wa tikiti
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

    Nitakupa mrejesho
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

    Nitafute kupitia anuani ya tinywax.investments@gmail.com Nimejaribu kujibu PM zote lakini zinagoma, sharti kwanza niwe nimefikisha post 5. Kumradhi kwa wale waliotuma PM na hawajaona majibu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

    Tunauza mzigo wa kuanzia tani na kuendelea.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza matikiti maji

    Kwa wale wenye kuhitaji kununua matikiti kwa jumla, tunawakaribisha kufanya biashara nasi. Tunayo mashamba makubwa ya matikiti yanayozalishwa kisasa kutumia njia ya umwagiliaji wa matone. Kwa sasa tuna mzigo wa tani 10 uliotayari kuingia sokoni. Naambatanisha picha za maendeleo ya zao msimu...
Back
Top Bottom